Kama unayahis haya yafuatayo ndani ya mwili wako
1)kichwa kuuma
2)kutoona vizuri
3)hali ya joto kias
4)kukaa kama umechanganyikiwa
5)kukosa usingizi
6)mara nyingi kiujikuta ukishtuka ovyo
7)kuwa na hasira za haraka na hutaki kuongeleshwa
8)uchovu wa ovyo
Hiyo sio (Corona virus)
Hizi ni dalili za mtu asiye na pesa na inaitwa (povid 20)poverty virus disease 2020, kwa hiyo isikusumbue hiyo smile [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Sent using
Jamii Forums mobile app