joel amani
Senior Member
- Nov 22, 2011
- 100
- 8
mimi ni mtumishi wa umma na mke wangu nimeishi naye miaka 7 na tumezaa mapacha na wengine 2,mama watoto anatabia ya kutoka nje ya ndoa ni kama amelogwa,nikitaka kumuacha nashindwa mana anajituma sana katika kujishugulisha na kazi za nje mpaka ndani na anajua vizuri kutunza familia,kama mapenz nampatia vizuri sana na pesa ya matumizi nampatia,sasa nifanye nini? nimezungumza naye sana anachokitafuta nje lkn wapi,mke mzuri ni yule mwaminifu na anayejituma na kazi,ushauri wenu wana Great thinkers
hivi kama hupati dozi la kutosha lazima uende nje?Una uhakika mkuu kana unampa dose ya kutosha? Kama ni hivyo atakuwa ana pepo la ngono, pili utakuwa umepewa limbwata. Ikiwa hakuna uaminifu kwenye ndoa ni fullstop, hata kama kuna tabia nyingine nzuri bwana its invalidate everything. Wewe ulimwoa ili awe mwenza katika kujenga family, kama anajituma nje hiyo ni nyongeza lakini kama unakipato cha kawaida si vile umuhimu wake wa kufanya kazi.
Hata kama anajali watoto kwa sasa ni wadogo lakini wakipata fahamu hawataweka taswira nzuri zaidi anaweza kuharibu pia watoto kuwa tabia hii ni kawaida.
Ushauri wangu kaeni muyazunguze in bold na washiriki wazee na watu wa dini, ni bora kila mtu achukue zake, utaishia kufa bure watoto wakose baba na mama mapema.
Wewe ukiwa hushibi a hupewi chakula kwenu hautaenda kudusa kwa jirani?hivi kama hupati dozi la kutosha lazima uende nje?