Ngolewasima
Member
- Apr 4, 2017
- 51
- 112
Umeshawahi kwenda kwenye harusi halafu Dj akawa anaplay mziki wakati huo mziki uko sauti ya juu sana halafu unaongea na rafki yako kwa sautiii ili akusikie.
mara Dj anazima gafla mziki halafu Inakukuta unapayuka
"Bibi harusi mbayaa"
halafu umekaa nyuma ya meza ya wazazi wake
Hapo ndio utajua kuwa kiwembe na kisu vinakata lakini havina diwani.
mara Dj anazima gafla mziki halafu Inakukuta unapayuka
"Bibi harusi mbayaa"
halafu umekaa nyuma ya meza ya wazazi wake
Hapo ndio utajua kuwa kiwembe na kisu vinakata lakini havina diwani.