Ngolewasima
Member
- Apr 4, 2017
- 51
- 112
[emoji13] [emoji13] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hahahaaaaa uuwi sijui nitakimbia wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unaweza omba msamaha gaflaUmeshawahi kwenda kwenye harusi halafu Dj akawa anaplay mziki wakati huo mziki uko sauti ya juu sana halafu unaongea na rafki yako kwa sautiii ili akusikie.
mara Dj anazima gafla mziki halafu Inakukuta unapayuka
"Bibi harusi mbayaa"
halafu umekaa nyuma ya meza ya wazazi wake
Hapo ndio utajua kuwa kiwembe na kisu vinakata lakini havina diwani.
hahahaaaaa Fanya banaHapo kama ni mm sifanyi
hahahaaaaa Fanya bana