Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

Status
Not open for further replies.
Ama utoe ushirikiano au ufe.....tezi dume sio ya kuchezea.....choice is yours.
 

Sasa Mkuu kupitishiwa Kidole cha Kati kunako ' Unyabeni / Haja Kubwa ' na Mwanaume mwenzako ni halali kweli? Nadhani Makonda asubirie Kwanza Madaktari wengi wawe ni wa Kike ndipo tufanyiwe hii ' screening ' yake vinginevyo ' Sanda ' za Marehemu zitauzika mno hiyo Wiki hakyanani!
 
Kama utaratibu ndo huu basi mimi waniletee daktari wa kike
 
Nasikia wanaingiza kidole kule sehemu ya haja kubwa kukaguwa uvimbe ndani

Kwa kweli haingizi MTU kidole wala doli lake.

Nivita kubwa hapo
 
Ama utoe ushirikiano au ufe.....tezi dume sio ya kuchezea.....choice is yours.

Bora ' nife ' tu Mkuu kuliko kupigwa ' Ndole ' waziwazi na ' mubashara ' na Madaktari wa Tezi Dume wa Makonda.
 
Anyways ...naunga mkono juhudi za Makonda. Tumeambiwa kipimo ni cha damu.

Tuungane na mkuu wa mkoa kwenye hili
 
Bora ' nife ' tu Mkuu kuliko kupigwa ' Ndole ' waziwazi na ' mubashara ' na Madaktari wa Tezi Dume wa Makonda.
Unaongea tu.
Siku ukiambiwa una miezi sita ya kuishi utalikumbuka hilo dole!
 
Kama utaratibu ndo huu basi mimi waniletee daktari wa kike

Nimeshakuambia kwamba Madaktari wote wa Upimaji Tezi Dume waliopo Mkoa wa Makonda ni wa Kiume na utaratibu wa upimaji wao unasemekana ndiyo huo nilioutaja hapo juu Mkuu. Anza tu sasa kuliandaa hilo ' Nyabe ' lako lililotukuka kwa ajili ya hiyo ' Ndole Screening ' tafadhali.
 
Hii tezi Dume ingekuwa inakaguliwa na madaktari wa kike inakuwa poa tu kuliko mwanaume mwenzio inaleta ukakasi sana.

 
Msijali daktari mwanamke nitakuwepo, wale wasiotaka kupimwa na wanaume watakuja kwangu niwafanyie vitu hivyo saba hapo juu,

Hahahaha kama nawaona vile mnavyoinama.

Halafu mbona upimaji wa kansa ya titi wanawake sio wabishi kuchezewa matiti yao?? nyie wanaume mna nini kwenye makalio yenu?
 
Nasikia wanaingiza kidole kule sehemu ya haja kubwa kukaguwa uvimbe ndani

Kwa kweli haingizi MTU kidole wala doli lake.

Nivita kubwa hapo

Inaitwa ' Ndole Screening ' Mkuu. Wakazi wa Dar es Salaam hasa Wanaume Kazi tunayo mwaka huu hakyanani! Makonda sijui tumemkosea nini yaani anatutafuta sana lawama Sisi Wanaume wa hili Jiji la Wajanja na Watoto wa Mjini Bongo Land.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…