[emoji116] [emoji116] [emoji116]Hii tezi Dume ingekuwa inakaguliwa na madaktari wa kike inakuwa poa tu kuliko mwanaume mwenzio inaleta ukakasi sana.
Msijali daktari mwanamke nitakuwepo, wale wasiotaka kupimwa na wanaume watakuja kwangu niwafanyie vitu hivyo saba hapo juu,
Hahahaha kama nawaona vile mnavyoinama.
Halafu mbona upimaji wa kansa ya titi wanawake sio wabishi kuchezewa matiti yao?? nyie wanaume mna nini kwenye makalio yenu?
Hahahahaha wanapaka mafuta wakati wanaingiza hicho kidole cha kati au kavu kavu?Kwa kweli namna ya kupima tezi dume huwa inakatisha tamaa sana. Ingawa ndugu yangu GENTAMYCINE umeongezea chumvi kidogo, lakini kile kitendo cha kuingiziwa kidole cha kati ndani ya njia ya haja kubwa wakati wa kupimwa tezi dume kinafedhehesha sana tena sana.
Mimi sitakaa nije kupimwa tezi dume. Namwomba sana MUNGU BABA aniepushe na gonjwa hili lenye kufedhehesha.
huko sio pa kuguswaguswa hovyo hovyo paliwekwa kupitisha taka mwili sasa wewe upakwe ky na lijidole kama hili eti unapimwa uvimbe...!Msijali daktari mwanamke nitakuwepo, wale wasiotaka kupimwa na wanaume watakuja kwangu niwafanyie vitu hivyo saba hapo juu,
Hahahaha kama nawaona vile mnavyoinama.
Halafu mbona upimaji wa kansa ya titi wanawake sio wabishi kuchezewa matiti yao?? nyie wanaume mna nini kwenye makalio yenu?
Kwa hiyo daktari mwanamke akikupenyezea kidole cha kati haina shida.... hahahaha guys hebu zioneeni huruma mbavu zangu uwiiiiSasa Mkuu kupitishiwa Kidole cha Kati kunako ' Unyabeni / Haja Kubwa ' na Mwanaume mwenzako ni halali kweli? Nadhani Makonda asubirie Kwanza Madaktari wengi wawe ni wa Kike ndipo tufanyiwe hii ' screening ' yake vinginevyo ' Sanda ' za Marehemu zitauzika mno hiyo Wiki hakyanani!
Nimebonyeza kitufe cha ''report'' kwa sababu umeandika upotoshaji. Huu upotoshaji utafanya watu wengi waogope kwenda hospital wanahisi wana tatizo la tezi dume.Natoa angalizo langu mapema kwa nyie Madaktari ambao nasikia wengi wenu mnaoandaliwa kutufanyie hii ' Screening ' ya Tezi Dume ni Wanaume kuwa mwambieni kabisa huyo aliyewatuma kuwa ahakikishe kabisa ameshayaandaa ' Makaburi ' yenu ya ' Kuzikiwa ' kwani hatutowaacha salama.
- Daktari anakuambia uiname ukiwa mtupu.
- Anakuchungulia ' Unyabeni / Sehemu yako ya Haja Kubwa ' Kiumakini
- Anazishikashika ' Kende / Pumbu ' zako
- Anapapasapapasa ' Makalio ' yako
- Anachezea sehemu zako za Siri hasa ' Mkuyenge / Uume '
- Anakulazimisha Udindishe / Usimamishe Uume Kiukakamavu kabisa kama mnara wa Babeli
- Anakamua mara kwa mara Kende / Pumbu zako
Yaani kabisa ' Poti ' mzima kama Mimi Mwanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) nifanyiwe huu ' Upuuzi ' na hawa Madaktari halafu niwaache hivi hivi? Kama ni kweli upimaji wenu wa Tezi Dume ndiyo huwa hivyo nilivyoandika hapo juu nawakaribisheni mapema tu Kwangu ili niwapeni ' tiketi ' za haraka za kwenda Mbinguni kwa Mungu Kuume kwa Baba kupitia Kaburini.
Nawasilisha.
Ni kipimo tu kaka
Unakaa mtaa gani tuanzie ukoNatoa angalizo langu mapema kwa nyie Madaktari ambao nasikia wengi wenu mnaoandaliwa kutufanyie hii ' Screening ' ya Tezi Dume ni Wanaume kuwa mwambieni kabisa huyo aliyewatuma kuwa ahakikishe kabisa ameshayaandaa ' Makaburi ' yenu ya ' Kuzikiwa ' kwani hatutowaacha salama.
- Daktari anakuambia uiname ukiwa mtupu.
- Anakuchungulia ' Unyabeni / Sehemu yako ya Haja Kubwa ' Kiumakini
- Anazishikashika ' Kende / Pumbu ' zako
- Anapapasapapasa ' Makalio ' yako
- Anachezea sehemu zako za Siri hasa ' Mkuyenge / Uume '
- Anakulazimisha Udindishe / Usimamishe Uume Kiukakamavu kabisa kama mnara wa Babeli
- Anakamua mara kwa mara Kende / Pumbu zako
Yaani kabisa ' Poti ' mzima kama Mimi Mwanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) nifanyiwe huu ' Upuuzi ' na hawa Madaktari halafu niwaache hivi hivi? Kama ni kweli upimaji wenu wa Tezi Dume ndiyo huwa hivyo nilivyoandika hapo juu nawakaribisheni mapema tu Kwangu ili niwapeni ' tiketi ' za haraka za kwenda Mbinguni kwa Mungu Kuume kwa Baba kupitia Kaburini.
Nawasilisha.
Hata sie wakike tupo kwenye semina mkuu wewe jiandae tu mkuu nikupime mimi mwenyewe sikuumizi taratibuuuMakonda anawatafutia Madaktari wa Kiume wa Upimaji Tezi Dume ' Vifo ' vya lazima hakyanani Mkuu. Yaani nawatamani kweli waje hata leo ili nizikumbuke kidogo ' styles ' za Kimapigano za Hayati Bruce Lee.
Hahaaaaa potiiii [emoji16][emoji16]Natoa angalizo langu mapema kwa nyie Madaktari ambao nasikia wengi wenu mnaoandaliwa kutufanyie hii ' Screening ' ya Tezi Dume ni Wanaume kuwa mwambieni kabisa huyo aliyewatuma kuwa ahakikishe kabisa ameshayaandaa ' Makaburi ' yenu ya ' Kuzikiwa ' kwani hatutowaacha salama.
- Daktari anakuambia uiname ukiwa mtupu.
- Anakuchungulia ' Unyabeni / Sehemu yako ya Haja Kubwa ' Kiumakini
- Anazishikashika ' Kende / Pumbu ' zako
- Anapapasapapasa ' Makalio ' yako
- Anachezea sehemu zako za Siri hasa ' Mkuyenge / Uume '
- Anakulazimisha Udindishe / Usimamishe Uume Kiukakamavu kabisa kama mnara wa Babeli
- Anakamua mara kwa mara Kende / Pumbu zako
Yaani kabisa ' Poti ' mzima kama Mimi Mwanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) nifanyiwe huu ' Upuuzi ' na hawa Madaktari halafu niwaache hivi hivi? Kama ni kweli upimaji wenu wa Tezi Dume ndiyo huwa hivyo nilivyoandika hapo juu nawakaribisheni mapema tu Kwangu ili niwapeni ' tiketi ' za haraka za kwenda Mbinguni kwa Mungu Kuume kwa Baba kupitia Kaburini.
Nawasilisha.
Whaaaaaaat! hilo dole jamani mtu akitoka hapo si nya itakua inampita bila break hahahahaha jamaniiii poleni kaka zangu.huko sio pa kuguswaguswa hovyo hovyo paliwekwa kupitisha taka mwili sasa wewe upakwe ky na lijidole kama hili eti unapimwa uvimbe...!
View attachment 753308
Jamaa likijua unaliwazia litakudunda.Hii inawafaa vijana wa dar....
Nimevuta picha ya njemba moja ya mtaani kwetu, sipati picha wakati linachezewa pumbu huku limeinamishwa
Mkuu culture gal usicheke ati. Kwa kweli huu ugonjwa ni wa fedheha sana. MUNGU atuepushie mbali fedheha hii. Ninavyosikia ni lazima watumie "vilainishi" kama K-Y Jelly.Hahahahaha wanapaka mafuta wakati wanaingiza hicho kidole cha kati au kavu kavu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha wanapaka mafuta wakati wanaingiza hicho kidole cha kati au kavu kavu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaniiiii nawapa pole kaka zangu na baba zangu, hakika hii ni fedheha kubwa sanaaaaaa.Mkuu culture gal usicheke ati. Kwa kweli huu ugonjwa ni wa fedheha sana. MUNGU atuepushie mbali fedheha hii. Ninavyosikia ni lazima watumie "vilainishi" kama K-Y Jelly.