Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mke wangu tunahama dar
Hivi ni kweli mkuu (na una uhakika) kwamba Unaweza kuwa KHANITHI kwa kuingizwa kidole kwa dakika/sekunde chache?!! Mbona "gogo" linapita hapo kila siku tangu uzaliwe na hadi leo bado hujawa khanithi? "Gogo" ni nene kuliko kidole na kama ulisha pata shida ya kupata haja kubwa(Constipation) yumkini ulijaribu kutumia kidole chako mwenyewe kuji........ badala ya kijiti.Kama ndiyo hivi kweli hii ni kutaka kufanyana tuwe makhanithi! Haikubaliki
nchi ya mikate na asali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunaenda wapi sasa?