Kama upo baa na ndugu comrade kipepe mwambie muhudumu sasa imetosha, mwamba akampumzike nyumbani

Kumbe na wewe umegundua nyau de adriz ana akaunti nyingi kama maghayo, mufti na ile ya mafwelee๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Nina uhakika na ile Munch wa Annabelle ni ya kwake pia ๐Ÿ˜
View attachment 3534431
Inasikitisha sana wewe jamaa ukapimwe afya ya akili siku zote najua Mcmillan de Maghayo ndiye mtambo wa Jf sasa kapata makali wake

Wewe matatizo ya Kisaikolojia uliyonayo ni makubwa kuliko hata The Mongolian Savage , Mimi siwezi kuwa na akaunti za kipuuzi kama hizo
 
Duh huyu man anapandisha nyuzi za ajabu kumbe yupo tungi?

Nyuzi za weekend kuweni nazo makini walevi wanakuwa wengi

Ngoja nivute stiki ya mwisho nipumzishe ndonga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ