kama upo dar unaweza nipatia gari aina ya Toyota Iwe Imeundwa Mwaka 2007 na kuendelea. Isiwe tu Passo. ila aina nyingine za Toyota Kuanzia CC 1000 - 2000. namba iwe C au D. Rangi sijachugui. isiwe imewah kupata Ajali au kushushwa Engine. Bei yake Ianzie Mil 5.5 mpaka 7
kama huna nyamaza. najua wapo wenye nazo. wapo wenye shida na pesa ya haraka n.k maana kuna jamaa huwa wanajifanya wajuaji sana. naomba wale wanaojiheshimu na kujielewa tusaidiane nipate gari yenye sifa hizo. inawezekana ikawa. noah,runx,corolla,allion,allex,spacio,vitz,porte n.k tuwasiliane tafadhali unaweza nitumia namba yako nikupigie.
only kma upo dar. mkoani sitoweza. asanteni waungwana.