Ukiwa mkubwa utafanyaje?Natamani kuwa mkubwa
kwanza kabisa nitamtafuta Miss NatafutaUkiwa mkubwa utafanyaje?
Kama sio huo mkono mtu hawezi jua hiyo picha mbele ni wapi na nyuma ni wapi naona kama kote kumelinganaNiko hapa barabarani View attachment 881007
Nakukumbusha; Umependeza mama
Baba enock biashara gani jamani.kujuana ni vibaya?Boko ...
Anyways tangazo zuri la BIASHARA
Ulikuwa wapi?Kumbe ndo wewe nikikuona ila sikukujua mkuu
Chumvini sports centreOld Trafford
Wewe una shida Na mbele Na nyuma kwangu?Kama sio huo mkono mtu hawezi jua hiyo picha mbele ni wapi na nyuma ni wapi naona kama kote kumelingana
Mmmhh unamaanisha uvinza?Chumvini sports centre
teh teh teh kisa chura ya avatar ipo ndani ya khanga? we jamaa si mtu mzuri kabisaKwenye ovatar ndo mzuri
Powa... Nitakutafuta Miss NatafutaBaba enock biashara gani jamani.kujuana ni vibaya?
Kumbe mnafuatilia avatar humu.Mimi ni mbaya sana tu kwani kuna shida Mkuu?Kwenye ovatar ndo mzuri
Nilikuona mkuu, si ndo wewe ulivaa suruali nyeusi na t shirt ya kijivuUlikuwa wapi?
kwenye huo ubaya wengine ndio ugonjwa wetu hapoKumbe mnafuatilia avatar humu.Mimi ni mbaya sana tu kwani kuna shida Mkuu?
mto umeuona.?...... tafuta tafuta ndo maeneo yao hayoMbona sioni chura?