Wadau kama kichwa cha habari juu,
Kwa mtu mwenye kujua biashara hii na aliye tayari na awe na cash kiasi kisichopungua 7m nakualika kushirikiana nae katika biashara ya kusaga na kupack Unga wa sembe,
Binafsi nina jengo nimeshajenga limekamilika, nimeweka umeme 3 phase na unawaka, kuna mambo mengine ya kufunga vinu na vitu vingine Ndio nimekwama,
Kwa mtu ambae yuko tayari kwa hili na Ana hizo sifa anicheki pm au mobile 0625979790 nimpe muongozo,
Makubaliano yote tutafanya kisheria
Karibuni