Kama upo moshi jipatie earphone super bass quality unaletewa bure mpaka ulipo

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,771
ORIGINAL EARPHONE SUPER BASS.........FREE DELIVERY AT MOSHI
Katika maisha hakuna kitu kizuri kama kuuziwa kitu imara na original
.
Tumezoea kununua earphone kila mara kwasababu hatupati earphone sahihi au original....kwanini upoteze pesa kununua earphone kila mara?njoo nikupe original earphone ambazo zinadumu miaka na miaka
.
Kwa hizi earphone ukinunua huwezi kujutia hela yangu kwasababu
-Zina bass kubwa utadhan sabufa
-Sauti kubwa yenye ubora
-Waya mgumu na imara
-Zinadumu
-Zinazuia masikio kuharibika kwani haziharibu masikio
-Ni original 100%
-Zina kitufe cha mic,kuongeza na kupunguza sauti na pia waweza kukata simu au kupokea ikiwa simu yako inasupport pia
-Zinafanya kazi katika smartphone zote
Halafu ukinunua nakuletea bure mpaka ulipo ndani ya moshi mjini na viunga vyake
Bei ya earphone ni 9000 tu
Pia ninazo na usb wire imara mno urefu wa mita moja kwa 6000 tu
NICHEK 0759 432 654
NB:Ukinunua hizi earphone hutojutia pesa yako kwani ni nzuri mnoo best quality than ever
Karibuni sana
0759 432 654
 
Kwamba haziharibu masikio halafu zinapiga kama sabufa?

Ziko poa sana, moshi kazi kwao.
 
Kwamba haziharibu masikio halafu zinapiga kama sabufa?

Ziko poa sana, moshi kazi kwao.
Yes,,,,,haziharibu kwasababu hizo sehemu ya masikioni ukivaa huumii kbs tofauti na nyengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…