Kama Ureno haijacheza hakuna kombe la dunia

Mwambie huyo Mbuzi wako kua,
Beberu la kutoka Rosario Argentina,limepiga Hat-trick with zero penalties.
 
Teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ

Mayele mbona hachezeshwi au sababu hachezi Ulaya?..Ile mechi ilimuhitaji Mayele.
Kuna MECHI 2 zimebaki atacheza tu,najua watanzania siku anacheza mayele tutakua wote mtashangilia DRC πŸ‡¨πŸ‡©
 
Maana watanzania nyie ni watu wa kudakia dakia tu ,hamjui mshike lipi muache lipi Proved huwa nikisomaga mijadala yenu humu nachekaga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…