ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Toka Trump awe Rais amesaidia sana kuonesha mambo yafuatayo;
1.Kwamba kumbe Urais ni One Man Show (Matakwa ya Rais) tofauti na Chadema wanavyodanganyaga eti ni taasisi
2.Kumbe Kila Chama kinatekeleza na kufuta ya Watangulizi wake tofauti na tunavyodanganyagwa eti Rais Mpya anaanza alipoishia mwingine (No consistency kwenye politics)
3.Kumbe Wabunge wa Upinzani Huwa Wanafukuzwa Wakikosa Nidhamu na zomea zomea.
4.Kumbe Hadi Huko USA Kuna Machawa eg Trump
5.Kumbe Bunge la USA Lenye Republican wengi ni Ruber Stamp hakuna kitu Cha Rais wanapinga ila ndio Mzee.
6.Kumbe nako Rais Huwa anawafuta kazi Watu wenye msimamo tofauti au kupinga mambo yake eg Kufutwa kazi Kwa Mkuu wa CIA/FBI na Mkuu wa Majeshi.
7.Kumbe Rais anaweza FUTA na Kuunda Idara Yeyote anavyojiskia na Kumpa Anaemtaka eg Kufutwa Kwa USAid na Kuunda Idara anayosimamia Chawa Elon Musk.
My Take
Utapeli na Uongo wa Chadema inazidi kuwekwa Wazi.Watafute sera nyingine 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DGz_nO1zJwm/?igsh=MWIzc3d0MGlqNTZ6cw==
Rais wa Marekani, Donald Trump, usiku wa kuamkia leo, Machi 5, 2025, alikumbana na upinzani mkali wakati wa hotuba yake kwa Bunge la Marekani.
Hotuba hiyo ilikatizwa mara kwa mara na kelele za kupinga kutoka kwa wabunge wa chama cha Democratic, hali iliyosababisha kutolewa nje kwa Mwakilishi Al Green wa chama hicho.
Katika dakika za mwanzo za hotuba hiyo, wabunge wa upinzani walisikika wakiimba, "USADI! USAID," na Mwakilishi Al Green (D-Texas) alisimama, akapaza sauti na kutikisa fimbo yake kuelekea kwa Trump huku akisema kwa sauti: