robbyr
Senior Member
- Apr 8, 2017
- 129
- 221
Mimi ni mmoja wa wahanga waliohudhuria usaili wa somo fulani mkoa wa Kilimanjaro ambapo watahiniwa walikuwa zaidi ya 500
Usimamizi ni imara na mkali sana dhahiri jambo hili lipo makini.
Ila cha kushangaza ubora wa mitihani na upimaji ni hovyoo kabisa kwani sidhani kama watahitaji walimu wanaojua kujibu maswali ya mtihani au wanaoweza kuwajenga watoto vizuri.
Naona huu ni mchezo ambao hauna tija zaidi ya kutumia gharama na mali nyingi kutafuta matokeo madogo.
Nilitamani ajira zilitolewe kama zamani lakini walimu wajengewe mtazamo wa continous learning ili kukidhi mabadiliko ya kimaisha katika maarifa.
Mwalimu bora ni yule anayependa kujifunza kila siku. Ila ili halinishangazi kwani TAMISEMI imekosa ubunifu kabisa kwa sababu hata maswala ya semina za walimu wameendelea kufanya live kitu ambacho wanafikia walimu wachache sana jambo ambalo wangeweza kurekodi video na hata walimu nchi nzima kutazama na kupata elimu moja kwa moja .
Nasema hivyo kwa sababu semini zinatumia gharama kubwa lakini maudhui au lengo lake ni kufundisha kuhusu andalio la somo au azimio la kazi kitu ambacho video ingeathiri walimu wengi kwa gharama ndogo.
Siasa ukipungua kwenye elimu basi tutaona mabadiliko kwa vitendo ila huu usaili tumepigwa na kuumiza watu kisaikolojia.