NATO ina kipengele kwamba nchi mwanachama ikivamiwa lazima nchi zote za NATO wampige adui kwa pamoja
Kwenye EAC, tungeweka kipengele kwamba : ikiwa nchi mwanachama itavamia nchi yoyote ndani ya Jumuiya au kushirikiana na kikundi cha uasi ndani ya EAC ,basi nchi hiyo itakuwa imekosa sifa ya kuwa mwanachama wa EAC.Hii itachochea upendo na mshikamano ndani ya jumuiya ya nchi za africa mashariki.
Kwa mfano, DRC ni nchi mwanachama wa EAC, Haiiji akilini kuona kuna nchi mwanachama inashirikiana na kundi la waasiwa M23 nchini humo kuleta vurugu ndani ya taifa lile.Tukiacha mambo kama haya yakaendelea EAC itakuwa haina maana yakuwepo.