haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Kuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kuwa, hata upstairs niko vizuri sana.