Kumbe ndo huyuMkuu.... mbona ghfla sana usiku wote huu...π
Lakini ulipendezaNatupia vitu, sifai nguo za vitenge wala kanga km wafuasi wa mitume
Usiku huu umekula Kijana ?Kuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kua, hata upstairs niko vizuri sana.
Kweli jamaa ni mtanashatiHongera sana kama mtanashati.
Chapi iko wapi?
Huyo ni mimi usichanganye, lenye maandishi ya parokia ile ilikua sare ya wanakwaya.oooh ulivaa shati la khanga eeeh
π€£π€£π€£π€£πKuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kuwa, hata upstairs niko vizuri sana.
Bwabwa linajitangaza.Kuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kuwa, hata upstairs niko vizuri sana.
ππππππKuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.