kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Unamaanisha nini mtumishiTangu KOLOKOLONI Kapigwa Kono la Sokwe hadi leo kachanganyikiwa!
Mtumishi MBU-MBU-MBU wamepagawa baada ya zile kono la sokwe!Unamaanisha nini mtumishi
Hizi kauli zilishapitwa na wakati, kila mmoja ashinde mechi zake.Timu za Algeria huwa na kawaida ya kutotishika na mambo yoyote yanayofanyika nje ya uwanja. Wao wanachojua ni kutembeza boli na hii imezifanya timu zake nyingi kupata matokeo mazuri kwenye mechi zao ikiwemo na timu yao ya taifa.
Yanga Wana mechi na CR BEROUZDAD ukiangalia maandalizi Yao mengi ni ya nje ya uwanja kama ulozi na kuipa mechi majina ya wachezaji.
Yanga walicheza na USM ALGERS mechi muhimu ya fainali na wakachezea 2- 1 timu ambayo haifiki hata nusu ya uwezo wa CRB Kwa hiki naamini kabisa jumamosi watapigwa tena.
Unajifanya umesahau 1-5 G?Unamaanisha nini mtumishi
Unaoneshwa kile ambacho wao wanahitaji wewe ukione. Ulivyo mshamba ukajua maandalizi ndio yanaishia njenje vile. Tulitoa sare hapa na Club Africaine kule kwao tukabonda, USM Alger alitufunga hapa kule kwao tukambonda pia. Monastir alitufunga kwao akaja huku akachezea kilekile. Mpira hauko ivyo wewe ulivyoandika lolote linaweza kutokea ila usirahisishe mambo kiivyo.Yanga Wana mechi na CR BEROUZDAD ukiangalia maandalizi Yao mengi ni ya nje ya uwanja kama ulozi na kuipa mechi majina ya wachezaji.
Yanga imejua kunikoshaaaa leoo Alooooooohh!
una la kusema sasa?Timu za Algeria huwa na kawaida ya kutotishika na mambo yoyote yanayofanyika nje ya uwanja. Wao wanachojua ni kutembeza boli na hii imezifanya timu zake nyingi kupata matokeo mazuri kwenye mechi zao ikiwemo na timu yao ya taifa.
Yanga Wana mechi na CR BEROUZDAD ukiangalia maandalizi Yao mengi ni ya nje ya uwanja kama ulozi na kuipa mechi majina ya wachezaji.
Yanga walicheza na USM ALGERS mechi muhimu ya fainali na wakachezea 2- 1 timu ambayo haifiki hata nusu ya uwezo wa CRB Kwa hiki naamini kabisa jumamosi watapigwa tena.
Akirudi mnitagkalisheshe last seen zako zinaonekana hapa. Ongea neno roho zitulie.