Kama utaenda angalia pakutuwa

Kama utaenda angalia pakutuwa

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Kama utaenda njiwa wangu angalia pakutua.
Usije pata shija na mimi sijui
Nakama utaenda miti mingine sio tete inatesa so angalia sehemu ya kutua.
Njiwa njiwa njiwa njiwaa.
Kwa heri njiwa wangu.
Nilikupenda kwa moyo.
 
Njiwa kiumbe mtini........dah inanikumbusha mambo ya vitabu lakini hapa naona kama kuna uhalisia fulani hivi wa kile nilichokisikia na kusoma .
 
Njiwa kiumbe mtini........dah inanikumbusha mambo ya vitabu lakini hapa naona kama kuna uhalisia fulani hivi wa kile nilichokisikia na kusoma .
We acha tu nilimfuga njiwa wangu kanishinda nimemfungua nimeona nimuachie aende zake.
 
Back
Top Bottom