katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
We acha tuInaumiza kuona mtu fulani licha ya yote unayofanya au mliyopitia still anaenda kuwa na mwingine it pain but ndio only way ya kuwa strong
Kama utaenda njiwa wangu angalia pakutua.
Usije pata shija na mimi sijui
Nakama utaenda miti mingine sio tete inatesa so angalia sehemu ya kutua.
Njiwa njiwa njiwa njiwaa.
Kwa heri njiwa wangu.
Nilikupenda kwa moyo.
We acha tu nilimfuga njiwa wangu kanishinda nimemfungua nimeona nimuachie aende zake.Njiwa kiumbe mtini........dah inanikumbusha mambo ya vitabu lakini hapa naona kama kuna uhalisia fulani hivi wa kile nilichokisikia na kusoma .
Tatizo nimerudi mtaani i need to see people not jamii forum nope.Ad: Open Vacancies Available
KweliLaiti kungekuwa na user guide ya mahusiano.
We acha tu nilimfuga njiwa wangu kanishinda nimemfungua nimeona nimuachie aende zake.
JF ni kichaka tu cha kujifichia, hawa hawa wa humu ndio unaowaona huko mtaani.Tatizo nimerudi mtaani i need to see people not jamii forum nope.
Huko nimetokaga siku nyingi.
Kabisa