Kama utaielewa hii picha mbinguni utaishia kupiga chabo tu

Nimeona alama ya CHADEMA, sijui unataka kusemaje hapo? Kwamba anafadiliwa na mabeberu, au?
 
Mjuba pale nyuma kidogo, Mzee wa Mtarimbo na mtafuna watoto wazia wa watu.

Nadhani wanaelekea location za mbali hukoooo kabisa.

πŸ†πŸ‘

Baada ya safari ndefu kwa zaidi ya saa 23, hatimaye mjuba kashuka ndege na sasa anawafanyia kwanza usahili wale watoto.
 

Attachments

  • IMG_20220805_171559.jpg
    21.9 KB · Views: 36
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…