Kama utakipenda chochote kati ya hivi vitu, nitafute tufanye biashara

digba sowey

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
8,926
Reaction score
17,880
1. Freezer aina ya philips Tsh 80,000/=. Haina mlango wala mtungi wa gesi
.
2. Feni ya chini Tsh 8,000/=. Inawaka kwa machale.. yaeza kukaa hadi masaa 2 haijaanza kuzunguka
,
3. Pasi ya umeme aina ya Phillips. Tsh 9,000/=, haishiki moto kabisa hata ikae nusu saa kwny umeme na kidude cha kuregulate moto kimeharbika..

4. Meza ya plastic Tsh 4,000/= ina miguu 3 na mmoja mfupi kidg.

5. Vikombe vya udongo Dozen 1 Tsh 900/= ila vilipata ajali kidg.. vimekatika mikono na vingne vimetoboka chini

6.Redio ya caset lkini haina transiforma bei Tsh 8,000/=

7.Flat scren bei TSh 90,000/= kioo kimepasuka na haina rimot control na batan zime haribika fasta nichek

8.Simu aina ya Sumsung s7 edge TSh 70,000/= ilidondokea kwenye maji ikapiga shot, kitufe cha kuwashia hakipo na hata ukiweka kingine haiwaki, ni simu nzuri bora na ya kisasa!

9.Kamera aina ya sony mp 16 bei Tsh 27,500/= haina lens, ni mbovu hata mafundi hawaitaki kama spea.

10.Bajaji aina ya tvs, bei Tsh 60,000/= haina matairi, viti wala usukani! Imetumika miaka 8 na inadaiwa kodi ya miaka 2!

Karibu, bidhaa ni nyingi sana, zipo za aina nyingi sana.
 
Unazo na risti zake wakati Unanunua?
 
Wewe itakua ufanyi usafi na ulipagi hela ya taka mtaani kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…