MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ije mvua lije jua Wakenya wameamua kwenda na Wajahckoya. Vijana kwa wazee , watu wa mashambani na mjini, watu wa dini na kabila zote za Kenya wamesema tumechoka. Ruto na Raila kwa wakati Fulani kuwa serikalini kumewafanya kuwa na madoa na hivyo kufanya goli kuwa wazi kwa jamaa. Ruto na Raila kwa Fulani walikuwa na uwezo wa kubadilisha Mambo lakini hawakuweza,ngoja wampe jamaa chance.