Kama utosi wa mtoto mchanga????????????

Kama utosi wa mtoto mchanga????????????

bakuza

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
492
Reaction score
104
Kijana mmoja wa kiume anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 14 hapa DAR amenishamngaza sana mpaka nikaona niulize.
Kijana huyu ana sehemu mbili ktk kichwa chake zinacheza kama utosi wa mtoto mchanga nilipomuuliza kama alishapelekwa hospitali alikataa kuwa hajawahi kupelekwa.
Sasa naomba wataalam mnisaidie kujua hili ni tatizo gani na matokeo yake uzeeni.:A S 465:
 
Duh, madaktari mmegona hadi humu jamvini?
 
madaktari hawapo bwana, wanatafakari kuongea na PINDA
 
Back
Top Bottom