Kama Valentino Mashaka wa Simba akianza form 1 mwaka 2013, Inakuwaje hadi Leo 2024 ana miaka 18

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Nimemsikia akihojiwa kwenye redio Moja ya Mwanza, jembe fm kuwa alianza form 1 huo mwaka
Nikajiuliza alisoma akiwa na umri Gani shule ya msingi.

Hakika udanganyifu wa umri Africa hasa kwenye michezo ni mkubwa.

Nina uhakika yule kijana hakosi miaka 26
 
Mnaotafutaga umri wa wachezaji mtapata tabu sana wakuu!
Kuna umri wa kibinadamu halafu kuna umri wa mpira! Wacheza mpira wanaanza mwaka mmoja wakiwa darasa la saba. Kwahiyo hizi 18/20/22 ongeza miaka 5-7 utapata umri sahihi wa mtu halafu kuna umri tena ambao wakishaanza kucheza mpira huwa unasimama kama alianza akiwa na miaka 25 haisogei umri una freeze anacheza mpira misimu mi5 anabaki miaka 25 hio hio...

Swala la umri halisi liko Ulaya huku Africa tuna umri wetu wakimichezo..
 
Hakika mkuu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeua
 
Nimemsikia akihojiwa kwenye redio Moja ya Mwanza, jembe fm kuwa alianza form 1 huo mwaka
Nikajiuliza alisoma akiwa na umri Gani shule ya msingi.

Hakika udanganyifu wa umri Africa hasa kwenye michezo ni mkubwa.

Nina uhakika yule kijana hakosi miaka 26
2016 alimaliza f4. Alizaliwa 2006 kwa hesabu kuwa mwaka huu yu 18 years. Nadhani yawezekana.
 
Alimaliza darasa la saba mwaka 2013 na kwa mujibu wa maelezo yake kazaliwa 2005 so alimaliza shule ya msingi akiwa na umri wa miaka 8 na alianza shule ya msingi akiwa na miaka miwili.

Kwenye mpira inawezekana ila kiuhalisia haiwezekani.
 
Nimemsikia akihojiwa kwenye redio Moja ya Mwanza, jembe fm kuwa alianza form 1 huo mwaka
Nikajiuliza alisoma akiwa na umri Gani shule ya msingi.

Hakika udanganyifu wa umri Africa hasa kwenye michezo ni mkubwa.

Nina uhakika yule kijana hakosi miaka 26
Ikiwa wewe ndio uliingia Labour, basi sawa, hoji
 
Alimaliza darasa la saba mwaka 2013 na kwa mujibu wa maelezo yake kazaliwa 2005 so alimaliza shule ya msingi akiwa na umri wa miaka 8 na alianza shule ya msingi akiwa na miaka miwili.

Kwenye mpira inawezekana ila kiuhalisia haiwezekani.
Mzize yeye kazaliwa 1975 lkn passport inasoma tofauti.
 
Back
Top Bottom