#COVID19 Kama vile Tanzania, Uganda nayo inaelekea kuishinda Corona

#COVID19 Kama vile Tanzania, Uganda nayo inaelekea kuishinda Corona

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ama kweli mchele ni mmoja mengine ni mambo ya mapishi tu.

Kama ilivyokuwa kwetu, mganda naye anaelekea tuliko fika: yaani a Corona free country:

COVID-19: Victory in Uganda as the Country Records Low Cases in 24 Hours, Zero Deaths - Opera News Official

Mchele mmoja mapishi mengi!

Ajabu ni kuwa badala ya kushereheka na wafanikiwa wenzetu, utakuta wengine na haswa Lb7 wamenuna! Kisa eti death is inevitable. Mtu unajiuliza hata cha murder?

Hongereni waganda na nyote mnaopambana na kuto 'give in cowardly to death'.

Kwa hakika mnayo thawabu kuu si hapa duniani pekee, bali na huko mbinguni kwa kila maisha mnayoyapigania.

Kudos.

Aluta continua victoria acerta!

---
President Yoweri Museveni seems to be defeating Coronavirus pandemic after the latest updates on the state and reaponce on the disease.

According to the reports released by the ministry of health, Uganda, the country have recorded only 4 new case in the last 24 hours this brings the cumulative cases to 1029.

Further, the total recovery cases now stands at 977.

The ministry also reported that 18 foreign truck drivers were also confirmed positive for the Coronavirus and we're returned back to their countries of origin. Of the 18, 14 were Kenyans, 2 Tanzanians, a Rwandese and a Congolese.

It is also important to note that Uganda has not recorded any Coronavirus related deaths, hence the country has only 52 active COVID-19 cases (1029-977)

"Results of COVID-19 tests done on 12 July 2020.

4 new COVID-19 cases confirmed. The cumulative confirmed cases of Ugandans is now 1,029.

Total COVID-19 Recoveries: 977" Said The Ministry on Twitter.

Uganda.jpg

Uganda wenyewe wana tuhuma za kufanya censorship ya vifo vya Covid, so far wanahisiwa kua na vifo zaidi ya 150 vya Covid na picha kibao za huko Uganda zinaonyesha jamaa wanazika wakiwa wamevaa full gears za kujikinga na Covid lkn wanakataa hawaja record mtu aliyefariki kwa Covid.
 
Uganda wenyewe wana tuhuma za kufanya censorship ya vifo vya Covid,so far wanahisiwa kua na vifo zaidi ya 150 vya Covid na picha kibao za huko Uganda zinaonyesha jamaa wanazika wakiwa wamevaa full gears za kujikinga na Covid lkn wanakataa hawaja record mtu aliyefariki kwa Covid.

Kwani sisi tuhuma za hivi hazikuwahi kutukuta? Au mkuki kwa nguruwe?

Hizi zitakuwa ni zile njama uchwara za Lb7 wasiopenda kushereheka na wafanikiwa wenzao.

Washindwe na walegee!
 
Kwani sisi tuhuma za hivi hazikuwahi kutukuta? Au mkuki kwa nguruwe?

Hizi zitakuwa ni zile njama uchwara za Lb7 wasiopenda kushereheka na wafanikiwa wenzao.

Washindwe na walegee!
Hahah daah ngoja waje hapa kupambania kombe.
 
Kwani sisi tuhuma za hivi hazikuwahi kutukuta? Au mkuki kwa nguruwe?

Hizi zitakuwa ni zile njama uchwara za Lb7 wasiopenda kushereheka na wafanikiwa wenzao.

Washindwe na walegee!
Mkuu hujafa kwa Covid mpaka sasa?? Teh teh teh
 
Makwenu wapi huko mmeishinda kovidi, makwetu tumeipuuza tu.
 
Mkuu hujafa kwa Covid mpaka sasa?? Teh teh teh

Kuwa cheza shere waliotangulia si utamaduni wa kitanzania.

Ukisikia mparaganyiko wa maadili na/au kukosekana kwa uzalendo, hakupo zaidi ya huo.
 
Kuwa cheza shere waliotangulia si utamaduni wa kitanzania.

Ukisikia mparaganyiko wa maadili na/au kukosekana kwa uzalendo hakupo zaidi ya huo.
Mkuu umejifungia ndani au ndo unanawa mikono sana teh teh teh
 
Mkuu umejifungia ndani au ndo unanawa mikono sana teh teh teh

Mkuu ninaserebuka na wote wanao achieve the end results - wengine, watajiju.

Ndiyo amali za mapishi hizo yakhe!
 
Uganda wenyewe wana tuhuma za kufanya censorship ya vifo vya Covid, so far wanahisiwa kua na vifo zaidi ya 150 vya Covid na picha kibao za huko Uganda zinaonyesha jamaa wanazika wakiwa wamevaa full gears za kujikinga na Covid lkn wanakataa hawaja record mtu aliyefariki kwa Covid.
Kuzika ukivaa full gear haimaanishi maiti ina corona
 
Uganda wenyewe wana tuhuma za kufanya censorship ya vifo vya Covid, so far wanahisiwa kua na vifo zaidi ya 150 vya Covid na picha kibao za huko Uganda zinaonyesha jamaa wanazika wakiwa wamevaa full gears za kujikinga na Covid lkn wanakataa hawaja record mtu aliyefariki kwa Covid.
True true
 
Back
Top Bottom