Kama vipi CCM kinondoni tupige kura ya maoni kumpata mtu sahihi wa kumkabili mwalimu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tangu Chadema wabadili gia hewani na kumleta mgombea wa " kimkakati" hapa kinondoni, pamezuka mjadala mpana miongoni mwa wanaccm. Binafsi najiuliza, kwani muda hauruhusu kulirejea zoezi la kura za maoni ili pasiwepo wa kumtupia lawama baada ya uchaguzi kama jahazi litaenda mrama?........Ni mimi mwanenu Yohana, usiku mwema!
 
Tusisikie kelele za KUIBIWA KURA!
mmeyataka wenyewe...mmejileta wenyewe...
 
Tusisikie kelele za KUIBIWA KURA!
mmeyataka wenyewe...mmejileta wenyewe...
Kwa hiyo mnajiandaa kuiba, mbona unasema maneno kama hayo, kikubwa time isimamie uchaguzi kwa uwazi na ushindi upatikane kihalali
 
HIzi habari za Fisiem peleka kwenye jukwaaa la siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…