Kama vipi Kenya waturudishie Mombasa na Lamu, Pwani sio Kenya

Kama vipi Kenya waturudishie Mombasa na Lamu, Pwani sio Kenya

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Vijana wa Lumumba Vijana wa ufipa

Kama kenya wanatuonea kila siku na mnasema tunaonewa

Nadhani tuchukue maamuzi magumu sana.

Tuwaambie waturudishie Mombasa na Lamu yetu maana sio kenya ile ilikua sehemu ya Zanzibar na Tanganyika

Narudia tena kwa kusema hivi!!!!Pwani sio kenya. Pwani sio kenya. Turudishieni sehemu yetu mlochukua tushachoka.

Rudisheni Mombasa na Lamu tuone mtatambia nini
 
nakataa kusema Kenya eti wanatuonea,Kenya hawana uwezo wa kutuonea.sema huwa wanatujaribu tu waone Kama tutajaa. kibaya zaidi wanatambua tunajiweza kuliko wao hata haya mahindi wataludi tu kuomba tuendelee kuwauzia ,si unajua njaa Haina baunsa.

Na watakapokuja mara hii tuwauzie kwa masharti fulani,ikiwemo wautangazie ulimwengu mahindi yetu ni Safi na salama.tumewalisha miaka yote hiyo,leo wanatuona ss maboya.na wakiendelee upuuzi wao.

Nashauri tuanze kufikilia kuwawekea vikwazo,naona wanajisahau sana.sisi ni Dona cantri bana.mfano eneo la utalii ss ndo tunawafanya wapate wageni wa utalii,bila ss Tanzania, Kenya utalii hawapati kitu.
 
Bila shaka umewehuka wewe, siyo bure!
 
Haya yote yametokana na kukataliwa kwa mahindi. Leo imejulikana nani simba Afrika Mashariki. [emoji1787] [emoji1787]
Inashangaza sana, tuna majirani wa ajabu. Chorus ya watatunyima mahindi ili tufe njaa leo imegeuka kuwa ya bifu kisa tumeyakataa mahindi hayo hayo. [emoji38][emoji38][emoji38] Naona sasa ndio ghafla wamekumbuka kwamba tulikuwa tunanunua sio kupewa bure. Hawa jamaa ni wanafiki kupindukia, wapo radhi kula sima yenye aflatoxin na kujitia hamnazo kuhusu athari zake za kansa. Ili tu waonekane kwamba ni wajanja zaidi ya wakenya.
 
Leo wamejua simba ni nani East Africa. Nisisikie tutawanyima mahindi tena. 🤣 🤣 🤣
 
Vijana wa Lumumba Vijana wa ufipa

Kama kenya wanatuonea kila siku na mnasema tunaonewa

Nadhani tuchukue maamuzi magumu sana

Tuwaambie waturudishie Mombasa na Lamu yetu maana sio kenya ile ilikua sehemu ya Zanzibar na Tanganyika

Narudia tena kwa kusema hivi!!!!Pwani sio kenya.......Pwani sio kenya.......Turudishieni sehemu yetu mlochukua......tushachoka

Rudisheni mombasa na Lamu tuone mtatambia nini
Aibu tena hiyo. Uchizi tena! Warudishe? Walichukuaje? Uliwapa? Vigezo na masharti yapi yalitumika? Uliwauzia? Kama ndivyo huna chako tena ni yao? Labda wakuuzie kama ulivyowauzia ikiwa wako tayari kuuza! Vinginevyo aibu tupu. Heri ungefunga bakuli.
 
Hili la mahindi mnapaswa mpige kimya na kufanya uchunguzi na kubaini ukweli, kama wanavyofanya Waganda, nyie mumepiga ukunga na kuonyesha kumbe ni tuhuma za kweli. Mna ukajanja mwingi sana na vituko vya kupima corona kwenye mapaipai.
 
We mwehu kweli.. Tz Tunauza mahindi kwenye masoko ya Kimataifa ndio leo tuchukulie kauli za wendawazimu wa Kikenya?
WFP wananunua thousands of tonnes, Tunauza Sadc, tunauza DR Congo maelfu ya matani..
Mtanunua mahindi ya Tz, hata kwa viboko. Wait and see
 
Tushawaharibia jina. WFP ataanza kujiuliza maswali. Kama wazungu wakisikia kwamba mahindi yenu yana sumu basi watailazimisha WFP kufanya uchunguzi wao. Nchi zingine pia zitaanza kupima mahindi yenu na zingine zitakataa kununua.

Cc Geza Ulole
 
[emoji28][emoji28][emoji28]njaa haina baunsa.
 
Back
Top Bottom