[emoji1787][emoji1787][emoji1787]... mataga kwa ujinga mpo vyema sana!
Inashangaza sana, tuna majirani wa ajabu. Chorus ya watatunyima mahindi ili tufe njaa leo imegeuka kuwa ya bifu kisa tumeyakataa mahindi hayo hayo. [emoji38][emoji38][emoji38] Naona sasa ndio ghafla wamekumbuka kwamba tulikuwa tunanunua sio kupewa bure. Hawa jamaa ni wanafiki kupindukia, wapo radhi kula sima yenye aflatoxin na kujitia hamnazo kuhusu athari zake za kansa. Ili tu waonekane kwamba ni wajanja zaidi ya wakenya.Haya yote yametokana na kukataliwa kwa mahindi. Leo imejulikana nani simba Afrika Mashariki. [emoji1787] [emoji1787]
Leo wamejua simba ni nani East Africa. Nisisikie tutawanyima mahindi tena. 🤣 🤣 🤣Inashangaza sana, tuna majirani wa ajabu. Chorus ya watatunyima mahindi ili tufe njaa leo imegeuka kuwa ya bifu kisa tumeyakataa mahindi hayo hayo. [emoji38][emoji38][emoji38] Naona sasa ndio ghafla wamekumbuka kwamba tulikuwa tunanunua sio kupewa bure. Hawa jamaa ni wanafiki kupindukia, wapo radhi kula sima yenye aflatoxin na kujitia hamnazo kuhusu athari zake za kansa. Ili tu waonekane kwamba ni wajanja zaidi ya wakenya.
Aibu tena hiyo. Uchizi tena! Warudishe? Walichukuaje? Uliwapa? Vigezo na masharti yapi yalitumika? Uliwauzia? Kama ndivyo huna chako tena ni yao? Labda wakuuzie kama ulivyowauzia ikiwa wako tayari kuuza! Vinginevyo aibu tupu. Heri ungefunga bakuli.Vijana wa Lumumba Vijana wa ufipa
Kama kenya wanatuonea kila siku na mnasema tunaonewa
Nadhani tuchukue maamuzi magumu sana
Tuwaambie waturudishie Mombasa na Lamu yetu maana sio kenya ile ilikua sehemu ya Zanzibar na Tanganyika
Narudia tena kwa kusema hivi!!!!Pwani sio kenya.......Pwani sio kenya.......Turudishieni sehemu yetu mlochukua......tushachoka
Rudisheni mombasa na Lamu tuone mtatambia nini
Wewe Muhogo endelea kula mihogo, hii mada huiwezi.Naunga mkono hoja! Waturudishie tu.
We mwehu kweli.. Tz Tunauza mahindi kwenye masoko ya Kimataifa ndio leo tuchukulie kauli za wendawazimu wa Kikenya?Hili la mahindi mnapaswa mpige kimya na kufanya uchunguzi na kubaini ukweli, kama wanavyofanya Waganda, nyie mumepiga ukunga na kuonyesha kumbe ni tuhuma za kweli. Mna ukajanja mwingi sana na vituko vya kupima corona kwenye mapaipai.
Tushawaharibia jina. WFP ataanza kujiuliza maswali. Kama wazungu wakisikia kwamba mahindi yenu yana sumu basi watailazimisha WFP kufanya uchunguzi wao. Nchi zingine pia zitaanza kupima mahindi yenu na zingine zitakataa kununua.We mwehu kweli.. Tz Tunauza mahindi kwenye masoko ya Kimataifa ndio leo tuchukulie kauli za wendawazimu wa Kikenya?
WFP wananunua thousands of tonnes, Tunauza Sadc, tunauza DR Congo maelfu ya matani..
Mtanunua mahindi ya Tz, hata kwa viboko. Wait and see
[emoji28][emoji28][emoji28]njaa haina baunsa.Tushawaharibia jina. WFP ataanza kujiuliza maswali. Kama wazungu wakisikia kwamba mahindi yenu yana sumu basi watailazimisha WFP kufanya uchunguzi wao. Nchi zingine pia zitaanza kupima mahindi yenu na zingine zitakataa kununua.
Cc Geza Ulole