Kama vipi Kenya waturudishie Mombasa na Lamu, Pwani sio Kenya

Haya yote yametokana na kukataliwa kwa mahindi. Leo imejulikana nani simba Afrika Mashariki. [emoji1787] [emoji1787]
hata simba ni paka mkubwa.

ni sawa pia kusema paka ni simba mdogo.

subiri utajua maana ya simba muda si mrefu.
 
sasa tukiweka bifu unadhani tutaandika humu jf!!!!

utasikia tamko tu kutoka TBS,blueband zinamaliza nguvu za kiume,hapo ndio utajua huna unachojua hapa duniani.
 
Hela yetu jeuri yetu...acheni ukajanja na uzembe boresheni mazao yenu, hata mkipiga ukunga lazima mkaguliwe...hehehe
 
🤣🤣 hii mkuu nazani tani zako kadhaa za mahindi zimepigwa block
 
Tushawaharibia jina. WFP ataanza kujiuliza maswali. Kama wazungu wakisikia kwamba mahindi yenu yana sumu basi watailazimisha WFP kufanya uchunguzi wao. Nchi zingine pia zitaanza kupima mahindi yenu na zingine zitakataa kununua.

Cc Geza Ulole
Ingekuwa nchi moja sawa, lakini sasa zote TZ na UG? Wazungu kwenye hilo hawawezi kwenda kwa mihemko;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…