chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Wasukuma ni kabila kubwa katika makabila yaliyopo hapa Tanzania.
Na kwa bahati nzuri nina mke wa Kisukuma [emoji16]. ila hawa Wasukuma wasikie wakiwa na pesa ndugu zangu wa makabila mengine.
Yani wana sifa na majigambo balaa, ndiyo maana uchaguzi ukifika usije leta dharau wanaweza kukutoa kwenye reli.
Msukuma mweupe wa kike ukitaka kumuoa utakoma ukweni wanavojisikia, utadhani umeenda kununua madini.
Wasukuma wakiwa na pesa Muhaya anasubiri.