We unaongelea Wanyantuzu,ila hawa Wasukuma wa kawaida unamkuta ana Ng'ombe sabini lakini anaoga kwenye Malambo pembeni ya Barabara?Wasukuma ni kabila kubwa katika makabila yaliyopo hapa tanzania.
na kwa bahati nzuri na mke wa kisukuma [emoji16].
ila hawa wasukuma wasikie wakiwa na pesa ndugu zangu wa makabila mengine.
Yani wanasifa na majigambo balaa.ndio maana uchaguzi ukifika usije leta dharau wanaweza kukutoa kwenye reli.
Msukuma mweupe wa kike ukitaka kumuoa utakoma ukweni wanavojisikia utazani umeenda kununua madini.
wasukuma wakiwa na pesa muhaya anasubiri
Unamjua Kishimba vzuri?Sio kweli Mwanza kuna yule Billionea wa Mwaloni sijui kishimba anapesa mpaka anasahau nyingine ila ni mtu poa sana shuguli zake zote anaalika watu sio mtu wa majivuni wala maringo...pia kuna wasukuma kina maduhu,Nyehunge wanamikwanja mpaka basi ila uwezi kuona wanamaringo
Binafsi watu wenye majivuni kwa hapa bongo ni wahindi au waarabu waliozaliwa hapa ila wakabahatika kukamata chapaa..hawa wanaweza ata kukutemea mate
Sent from my MG using JamiiForums mobile app
Wasukuma ni kabila kubwa katika makabila yaliyopo hapa Tanzania.
Na kwa bahati nzuri nina mke wa Kisukuma [emoji16]. ila hawa Wasukuma wasikie wakiwa na pesa ndugu zangu wa makabila mengine.
Yani wana sifa na majigambo balaa, ndiyo maana uchaguzi ukifika usije leta dharau wanaweza kukutoa kwenye reli.
Msukuma mweupe wa kike ukitaka kumuoa utakoma ukweni wanavojisikia, utadhani umeenda kununua madini.
Wasukuma wakiwa na pesa Muhaya anasubiri.