The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Ukisoma history unakuta maendeleo makubwa ya nchi yetu yaliletwa na Wajerumani wakiwa na nia ya kudumu milele sema tu upumbavu wa Hittler ndo ukasababisha nchi yetu iwe mikononi mwa Uingereza.
Mfumo wa Kodi ulianzishwa nchini na utawala wa Uingereza ili kuwafanya watu wafanye kazi na si kwamba walitegemea kodi zetu ili kuendesha serikali zao.
Waliamini katika matumizi ya raslimali kama vyanzo vya mapato na sio kukamua watu masikini wanaoshindwa hata mlo mmoja kama wafanyavyo CCM sasa hivi.
Nchi imejaa raslimali chekwa mfano nenda tu wilaya moja tu mfano Wilaya ya Ulanga imejaa utajiri tele haunufaishi taifa zaidi ya kukuza uchumi wa nchi za Sri Lanka na Thailand wakiwa ndio wanufaika wakuu wa madini ya wilaya hio.
Kutoza Kodi watu masikini ni matumizi mabaya ya akili, badala ya kutumia raslimali zetu.