Kama Wake zetu wangejua wanapotunyima penzi tunakua na hasira kiasi gani, wasingejaribu hata kidogo

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Inatia hasira sana unaponyimwa haki na mke wako wa ndoa, wao hawajui tu ni kiasi gani tunakua na hasira.

Halafu mtu amelunyima anakuuliza, "umekasirika" Sasa unajiuliza hivi huyu anaakili kweli? Au huwa wanaona hilo ni jambo dogo?

Kama unaamua kumnyima mtu unamnyima ila usianze kuongea ongea.

Unaweza kula mbata zisizo za lazima mkaleta taharuki nyumbani. Full stop
 
Na bahati mbaya akuahidi anakupa anasubr Giza kimekomaa kama la saa sita hv anakaza lengo tu usiweze kutoka kuenda kupata kwingine Hawa watu ilaa basi tu nachukia sna
 
Inatia hasira sana unaponyimwa haki na mke wako wa ndoa, wao hawajui tu ni kiasi gani tunakua na hasira.

Halafu mtu amelunyima anakuuliza, "umekasirika" Sasa unajiuliza hivi huyu anaakili kweli? Au huwa wanaona hilo ni jambo dogo?

Kama unaamua kumnyima mtu unamnyima ila usianze kuongea ongea.

Unaweza kula mbata zisizo za lazima mkaleta taharuki nyumbani. Full stop

Mke ananinyimaje kwa mfano?
Anataka nikapewe wap?
Yeye anampa nani?

Mke akikunyima something is not right
 
Mke ananinyimaje kwa mfano?
Anataka nikapewe wap?
Yeye anampa nani?

Mke akikunyima something is not right
Hata Mimi Huwa nashangaa eti mwanaume kusema ananyimwa..me nimekaa na wake wawili nachokijua mke ndo Huwa inafika kipind yeye ndo analazimisha umpe.unakuta umechoka hauna mood
 
Acha tu mkuu hizi ndoa zina mambo sana, eti amenyimwa na mkewe
🤣
 
Inatia hasira sana unaponyimwa haki na mke wako wa ndoa, wao hawajui tu ni kiasi gani tunakua na hasira.

Halafu mtu amelunyima anakuuliza, "umekasirika" Sasa unajiuliza hivi huyu anaakili kweli? Au huwa wanaona hilo ni jambo dogo?

Kama unaamua kumnyima mtu unamnyima ila usianze kuongea ongea.

Unaweza kula mbata zisizo za lazima mkaleta taharuki nyumbani. Full stop
Uchoyo tu,halafu ukimparamia kwa nguvu wana kamsemo kao eti umebaka...
 
Inatia hasira sana unaponyimwa haki na mke wako wa ndoa, wao hawajui tu ni kiasi gani tunakua na hasira.

Halafu mtu amelunyima anakuuliza, "umekasirika" Sasa unajiuliza hivi huyu anaakili kweli? Au huwa wanaona hilo ni jambo dogo?

Kama unaamua kumnyima mtu unamnyima ila usianze kuongea ongea.

Unaweza kula mbata zisizo za lazima mkaleta taharuki nyumbani. Full stop
Kwani hauna side wife/ backup woman
 
Kama mchizi hauna changamoto za kisaikolojia.
Sometimes inabidi wabembelezwe/watongozwe tena.
 
Back
Top Bottom