kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Wadau namwomba Mh.Rais wetu asiwaonee HURUMA wauaji ambao tayari Mahakama zetu zimekwisha wahukumu KUNYONGWA hadi kufa.Watu hao walifanya ukatili Mkubwa wakati wanaua. Pia kutowanyonga watu wengine watakuwa wanaua Kwa makusudi bila woga kwani HAWATANYONGWA.Pamoja na ADHABU YA KUNYONGWA ipo lakini bado kuna mauaji je ADHABU ikiondolewa mauaji YATAONGEZEKA ukizingatia na hali ngumu kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app