kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Ila kumkata mtu mapanga mpaka kufa iko poa sanaa????Duuuh , kunyonga mtu haiko pouwa sanaaa
Sio kweliAngenyonga mngesema Ana roho mbaya, acheni unafiki
KWANINI walitunga Sheria?
Wadau namwomba Mh.Rais wetu asiwaonee HURUMA wauaji ambao tayari Mahakama zetu zimekwisha wahukumu KUNYONGWA hadi kufa.Watu hao walifanya ukatili Mkubwa wakati wanaua. Pia kutowanyonga watu wengine watakuwa wanaua Kwa makusudi bila woga kwani HAWATANYONGWA.Pamoja na ADHABU YA KUNYONGWA ipo lakini bado kuna mauaji je ADHABU ikiondolewa mauaji YATAONGEZEKA ukizingatia na hali ngumu kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app