J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 15, 2025 #1 Miaka 21 Mwamba Mbowe anazunguka tu Ukuta wa Yeriko bila Kutenda maajabu yoyote Sasa ni lini huyu Mwamba anadhani atawavusha Hawa wanaomwita Alfa na Omega? Mlale unono π
Miaka 21 Mwamba Mbowe anazunguka tu Ukuta wa Yeriko bila Kutenda maajabu yoyote Sasa ni lini huyu Mwamba anadhani atawavusha Hawa wanaomwita Alfa na Omega? Mlale unono π
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Jan 15, 2025 #2 johnthebaptist said: Miaka 21 Mwamba Mbowe anazunguka tu Ukuta wa Yeriko bila Kutenda maajabu yoyote Sasa ni lini huyu Mwamba anadhani atawavusha Hawa wanaomwita Alfa na Omega? Mlale unono π Click to expand... MBOWE haaminiki, covid 19 ni mchezo mchafu wa MBOWE
johnthebaptist said: Miaka 21 Mwamba Mbowe anazunguka tu Ukuta wa Yeriko bila Kutenda maajabu yoyote Sasa ni lini huyu Mwamba anadhani atawavusha Hawa wanaomwita Alfa na Omega? Mlale unono π Click to expand... MBOWE haaminiki, covid 19 ni mchezo mchafu wa MBOWE
Boay Hotay Senior Member Joined Jul 8, 2023 Posts 103 Reaction score 142 Jan 15, 2025 #3 Mwamba ataanguka bahari ya sham kama Farao na Mungu yake So watu wa Jehova twende na kamanda Lisu
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 19,257 Reaction score 12,244 Jan 15, 2025 #4 johnthebaptist said: Miaka 21 Mwamba Mbowe anazunguka tu Ukuta wa Yeriko bila Kutenda maajabu yoyote Sasa ni lini huyu Mwamba anadhani atawavusha Hawa wanaomwita Alfa na Omega? Mlale unono π Click to expand... Yeye ndio anategemea kuvushwa na si kuwavusha
johnthebaptist said: Miaka 21 Mwamba Mbowe anazunguka tu Ukuta wa Yeriko bila Kutenda maajabu yoyote Sasa ni lini huyu Mwamba anadhani atawavusha Hawa wanaomwita Alfa na Omega? Mlale unono π Click to expand... Yeye ndio anategemea kuvushwa na si kuwavusha