Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Atapita tena bila kupingwaMtu ambae ana mawazo mgando anaweza kuuliza huyu jamaa labda hana akili timamu! Amejua vipi akili za wanaChato?
Kwa ufupi nimekaa Chato kama wiki nzima ili nishuhudie tukio la kuzimwa mwenge maana zilikuwa ni mbio maalumu. Ok zimeisha.
Mimi nikasema sitageuka home(kapuni) nikapita mitaa ya Chato Central kuna vijiwe kibao vya kahawa na muhu kwa kudaka habari. Nikachombeza juu ya Dk Kalemani vipi wanannchi wamepokea vipi timuliwa yake?
Majibu ni kuwa hafai kabisa, hajawahi kuwa na msaaada. Hana lolote, hajawahi kusaidia jimbo lake. Na kwa mantiki hii nikajiuliza hivi 2025 atapata hata ubunge?
Well said mzee wangu90 ya wabunge wa Magufuli awarudi bungeni akiwemo ndugai 2025.
Uelewa wa watu umeongezeka, upinzani utarudisha majimbo yote na mengi ya ccm yataenda upinzani.
Zipo sababu 2025 silo atakuwa alishastaafu hawezi isaidia ccm ushindi,ccm hadi sasa hawana mtu anaeuzika kwa watz,jiwe pekee ndie aliyekuwa na ujasiri wa kuwatiisha wakurugenzi waibe kura.Slogan ya kupita bila kupingwa imekufa na muasisi wake.Watz wameona madhara ya ukosefu wa upinzani bungeni mambo ya hovyo kama tozo yakapita.
Watu wa chato unawajua? Huwa ni wabishi sana.2025 ubunge atapewa mtoto wa Magu yule bonge nyanya ili kuenzi kinafiki kazi ya dingi yake.
Mark this post.
Labda walikuwa wafuasi wa chadema.Mtu ambae ana mawazo mgando anaweza kuuliza huyu jamaa labda hana akili timamu! Amejua vipi akili za wanaChato?
Kwa ufupi nimekaa Chato kama wiki nzima ili nishuhudie tukio la kuzimwa mwenge maana zilikuwa ni mbio maalumu. Ok zimeisha.
Mimi nikasema sitageuka home(kapuni) nikapita mitaa ya Chato Central kuna vijiwe kibao vya kahawa na muhimu kwa kudaka habari. Nikachombeza juu ya Dk Kalemani vipi wanannchi wamepokea vipi timuliwa yake?
Majibu ni kuwa hafai kabisa, hajawahi kuwa na msaaada. Hana lolote, hajawahi kusaidia jimbo lake. Na kwa mantiki hii nikajiuliza hivi 2025 atapata hata ubunge?
Si ulimi anao? Atalamba tuu!Mtu ambae ana mawazo mgando anaweza kuuliza huyu jamaa labda hana akili timamu! Amejua vipi akili za wanaChato?
Kwa ufupi nimekaa Chato kama wiki nzima ili nishuhudie tukio la kuzimwa mwenge maana zilikuwa ni mbio maalumu. Ok zimeisha.
Mimi nikasema sitageuka home(kapuni) nikapita mitaa ya Chato Central kuna vijiwe kibao vya kahawa na muhimu kwa kudaka habari. Nikachombeza juu ya Dk Kalemani vipi wanannchi wamepokea vipi timuliwa yake?
Majibu ni kuwa hafai kabisa, hajawahi kuwa na msaaada. Hana lolote, hajawahi kusaidia jimbo lake. Na kwa mantiki hii nikajiuliza hivi 2025 atapata hata ubunge?
Kwani CCM Ni wapi ilishinda uchaguzi kwa kusikiliza matakwa ya watu?Watu wa chato unawajua? Huwa ni wabishi sana.
Kapigwe mashine.Si ulimi anao? Atalamba tuu!
Kwani huyo Kalemani alichaguliwa kwa kura na wanachato, au alitangazwa mshindi kwa maagizo ya yule kiongozi muovu aliyeko motoni?Mtu ambae ana mawazo mgando anaweza kuuliza huyu jamaa labda hana akili timamu! Amejua vipi akili za wanaChato?
Kwa ufupi nimekaa Chato kama wiki nzima ili nishuhudie tukio la kuzimwa mwenge maana zilikuwa ni mbio maalumu. Ok zimeisha.
Mimi nikasema sitageuka home(kapuni) nikapita mitaa ya Chato Central kuna vijiwe kibao vya kahawa na muhimu kwa kudaka habari. Nikachombeza juu ya Dk Kalemani vipi wanannchi wamepokea vipi timuliwa yake?
Majibu ni kuwa hafai kabisa, hajawahi kuwa na msaaada. Hana lolote, hajawahi kusaidia jimbo lake. Na kwa mantiki hii nikajiuliza hivi 2025 atapata hata ubunge?
Unachuki na hayati JPM? Kool and calm downKwani huyo Kalemani alichaguliwa kwa kura na wanachato, au alitangazwa mshindi kwa maagizo ya yule kiongozi muovu aliyeko motoni?
Kalemani mwepesi sana MkuuKwani huyo Kalemani alichaguliwa kwa kura na wanachato, au alitangazwa mshindi kwa maagizo ya yule kiongozi muovu aliyeko motoni?
na hayati JPM? Kool and calm down
Na wewe endelea kujitawaza na msasa.Kapigwe mashine.