johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Utaambiwa umetukana π€£π€£π€£Kwenye hiyo tume ya rasimu ya katiba hadi huyo bibi yako alikuwepo. Watuambie pale walikuwa wanafanya nini
Hata Maza na MaCCM walikua posho. Tena Maza alikuwa ndiye Naibu Spika.UKAWA walisusia Bunge la Katiba 2014 wakiwa wameshatia mfukoni kodi za Walalahoi wa nchi
Swali ni: Kama Katiba Mpya haiwezekani hadi Wananchi wote waelimishwe ilikuwaje UKAWA na ile Tume ya Warioba wakalipwa maposho kibao?
Heri Shujaa Magufuli alijisemea Katiba Mpya siyo kipaumbele chake ππ
Msema kweli mpenzi wa Mungu!
Ndugu yetu Baptist, ina maana lile bunge la katiba lilikuwa linaundwa na UKAWA peke yao? Kama siyo hivyo kwann useme UKAWA walikula fedha ya bure? Hao CCM waliobaki ndani ya bunge la katiba, walitunga hiyo katiba mpya?UKAWA walisusia Bunge la Katiba 2014 wakiwa wameshatia mfukoni kodi za Walalahoi wa nchi
Swali ni: Kama Katiba Mpya haiwezekani hadi Wananchi wote waelimishwe ilikuwaje UKAWA na ile Tume ya Warioba wakalipwa maposho kibao?
Heri Shujaa Magufuli alijisemea Katiba Mpya siyo kipaumbele chake [emoji16][emoji16]
Msema kweli mpenzi wa Mungu!