[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Mbwa: akipotea wa dar ana trend twitter sisi wa kijijini hata Diwani hatujui
Nzi
Siku moja moja binadamu nawalisha nnya zao.
Mbu
Alonifundisha umbea kaniponza, kila siku binadamu wananipiga kwa kusambaza umbea na sikomi
Mende
Binadamu wabaya sana kifo changu wao wameona dili kutumia kama style
Ng'ombe
Binadamu hawaachi kitu kwenye mwili wangu,
Nyama (steak) - Oysterbay
Nyama mifupa - Gongolamboto
Utumbo - Tandale
Ulimi - supu Chanika
Miguu - kongoro kwenye kila bar
Ngozi - Mtwara ngoma
Mapu**mbu - Tandika
Mapembe - Mshana Jr
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
atar
MJUSI= leo bado kidogo nibanwe na mlango
Kuku;
wanaume wote machizi
leo nimekutana na uyo kinganganizi kanihemea kwenye sherehe
Sent using Jamii Forums mobile app
MJUSI= leo bado kidogo nibanwe na mlango
Nzi:daahh kuna nilikuwa juu ya kimba sijajua km jamaa anashusha mzigo mwingine kidogo nifunikwe na kifusi