Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Hamjamboni wanangu jamvini?
Nina suala linanisumbua hasa kwa wale ambao bado ni vijana. Kwa sasa, mamlaka nchini China zimeruhusu wachina kuzaa watoto watatu kila familia. Kabla ya hatua hii, walikuwa wanaruhusiwa kuzaa watoto wawili baada ya kuwa na sera ya mtoto mmoja kwa miongo mingi. Pamoja na sera hii ya mtoto mmoja kwa familia, wachina waliongezeka toka mamia ya milioni hadi bilioni moja na nusu. Hii maana yake ni kwamba wakiamua kuzaa watoto watatu, watafikia bilioni tatu hivi karibuni.
Je, kwa waswahili ambao serikali zetu zinatuhimiza tuzae wachache ikizingatiwa kuwa tunabaguliwa na watu wote wasio waafrika tutakuwa wageni wa nani? Kwa namna wachina walivyo wakatili na wabaguzi, tutakuwa katika hali gani tokana na ukweli kuwa tuna mali na raslilmali zinazonyemelewa na karibia mataifa yote duniani? Je, una mawazo au ushauri gani kuhusiana na hatua za kuchukua kama watu na wahanga wa dunia hii tokana na rangi ya ngozi yetu?
KWA HABARI ZAIDI BONYEZA HAPA