Kama watafungwa na watani zao sababu tayari wanayo

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Hata kama timu ni mbovu lakini makocha, wachezaji na mashabiki wa timu ile safari hii roho haziwadundi kwa kuhofia kufungwa na watani zao, maana wanacho cha kusingizia. Subiri uone.
 
Endelea tu natabiri zako za hovyohovyo.
 
Reactions: BAK
ushindi wetu hautanoga maana kisingizio cha kufungwa mnacho tayari mifukoni mwenu.
Hayo ni yako wewe mtani ila sikushangai hiyo ndio kawaida yenu kuja na matokeo uwanjani pamoja na visingizio.
 
Reactions: BAK
Tusibishane na mateja..wako arosto sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…