Kama waTanzania wasingekuwa na unafiki, nadhani hii dance group ingeitwa kuja kushiriki maziko hapa nchini

Kama waTanzania wasingekuwa na unafiki, nadhani hii dance group ingeitwa kuja kushiriki maziko hapa nchini

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Maana unabaki kushangaa jinsi Tanzia zinavyoletwa jukwaani kwa bashasha , nderemo na vifijo fijo kila aina, inashangaza sana. Tena kuna baadhi wamefanya kama mashindano ya kutafuta sifa kwamba nani kaleta Tanzia wa kwanza na kwa wingi. Ona video

Kuna bwana misiba mmoja tu jamii forum yeye hushinda Facebook kusubiri taarfa za misiba tu

Yaani yeye mtu akifa Ndio furaha yake
Yaani yuko standby, hata kabla ndugu wakaribu hawajajua yeye tayari kashapost JF, yaani kuna mijitu ya ajabu aisee, acha tu
 
.
FB_IMG_1589014221128.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana unabaki kushangaa jinsi Tanzia zinavyoletwa jukwaani kwa bashasha , nderemo na vifijo fijo kila aina, inashangaza sana. Tena kuna baadhi wamefanya kama mashindano ya kutafuta sifa kwamba nani kaleta Tanzia wa kwanza na kwa wingi. Ona video

Kuna siku walidondoh jeneza maiti ikatoka watu ngoja wakimbie
 
Back
Top Bottom