FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Yaani yuko standby, hata kabla ndugu wakaribu hawajajua yeye tayari kashapost JF, yaani kuna mijitu ya ajabu aisee, acha tuKuna bwana misiba mmoja tu jamii forum yeye hushinda Facebook kusubiri taarfa za misiba tu
Yaani yeye mtu akifa Ndio furaha yake
Ni matokeo ya kukosa mambo ya kufanya, haiwezekani mtu kushadadia vifo utadhani kuna malipo anapata.Kuna bwana misiba mmoja tu jamii forum yeye hushinda Facebook kusubiri taarfa za misiba tu
Yaani yeye mtu akifa Ndio furaha yake
Kuna siku walidondoh jeneza maiti ikatoka watu ngoja wakimbieMaana unabaki kushangaa jinsi Tanzia zinavyoletwa jukwaani kwa bashasha , nderemo na vifijo fijo kila aina, inashangaza sana. Tena kuna baadhi wamefanya kama mashindano ya kutafuta sifa kwamba nani kaleta Tanzia wa kwanza na kwa wingi. Ona video
DaahKuna siku walidondoh jeneza maiti ikatoka watu ngoja wakimbie
Anahabarisha wanajamii wenzie.Kuna bwana misiba mmoja tu jamii forum yeye hushinda Facebook kusubiri taarfa za misiba tu
Yaani yeye mtu akifa Ndio furaha yake