OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Tunaweza kulaumu bure kwanini waziri wetu alitania utani wa ngumi lakini ikumbukwe kuwa aliwahi kumuuliza swali la michezo mtu asiye sahihi, kiufundi ni kama vile hana uelewa wa mambo ya soka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba waziri ndiye huita wachezaji?Tunaweza kulaumu bure kwanini waziri wetu alitania utani wa ngumi lakini ikumbukwe kuwa aliwahi kumuuliza swali la michezo mtu asiye sahihi, kiufundi ni kama vile hana uelewa wa mambo ya soka?