Kama we ni binti/mwanamuke usiye na haraka na ngono,ingia humu unanfaa

Kama we ni binti/mwanamuke usiye na haraka na ngono,ingia humu unanfaa

cross road

Member
Joined
Mar 22, 2013
Posts
31
Reaction score
2
me ni kijana wa kiume niko upanga,na ni mwajiliwa,nahtaj bint mwnye mapenzi ya kweli mungu akipenda cku moja awe mke wangu, umri wa miaka 19/24,awe mkaz wa dar,mrembo wa asili,mwembamba or umbo la kati.cfa zangu;
mpole,msaf ninaejipenda,cnywi wala cvuti.ni mzima kwenye chakula cha usiku but..
NOTE:uhusiano hautahusisha ngono mpka 2takapoaminiana kabisa..kama ni wewe,bas unanfaa,ni PM or tuwasiliane hapa:0762052850
 
mnh mie naogopa,ngono ndio mpango mzima...

mwaya ni wazo zuri kuabstain mpaka mjuane vizuri,big up wanaume wa sasa hawako hivyo...
 
sasa mnafanya umalaya mbaka internet? embu katafute dem kwingine sio hum jf?
 
me ni kijana wa kiume niko upanga,na ni mwajiliwa,nahtaj bint mwnye mapenzi ya kweli mungu akipenda cku moja awe mke wangu, umri wa miaka 19/24,awe mkaz wa dar,mrembo wa asili,mwembamba or umbo la kati.cfa zangu;
mpole,msaf ninaejipenda,cnywi wala cvuti.ni mzima kwenye chakula cha usiku but..
NOTE:uhusiano hautahusisha ngono mpka 2takapoaminiana kabisa..kama ni wewe,bas unanfaa,ni PM
Umeishiwa mbinu, kakojoe ukalale, watoto wenzako wameshalala kitambo!:A S 39:
 
Mkuu, wewe ni mjanja sana! Najua hiyo technique kwamba hutaki ngono ni chambo tu n utawapata wengi tu..
 
Back
Top Bottom