cross road
Member
- Mar 22, 2013
- 31
- 2
Umeishiwa mbinu, kakojoe ukalale, watoto wenzako wameshalala kitambo!:A S 39:me ni kijana wa kiume niko upanga,na ni mwajiliwa,nahtaj bint mwnye mapenzi ya kweli mungu akipenda cku moja awe mke wangu, umri wa miaka 19/24,awe mkaz wa dar,mrembo wa asili,mwembamba or umbo la kati.cfa zangu;
mpole,msaf ninaejipenda,cnywi wala cvuti.ni mzima kwenye chakula cha usiku but..
NOTE:uhusiano hautahusisha ngono mpka 2takapoaminiana kabisa..kama ni wewe,bas unanfaa,ni PM
una uhuru wa kuzungumza utakalo imradi huvunj sheriaMkuu, wewe ni mjanja sana! Najua hiyo technique kwamba hutaki ngono ni chambo tu n utawapata wengi tu..