Kama we ni msanii mchanga hebu tufunguke hapa

Kama we ni msanii mchanga hebu tufunguke hapa

Hivi namna gani wasanii wachanga tunaweza skika maana ngoma inapeleka radio station lakini siskiki hebu mwenye wazo hapa afunguke
 
Nenda kanisani ukaubiri wanawakondoo watakuskia hapo utakuwa umetimiza azma yako yakuskika
 
hahaha kuhubiri poa lakini nataka kufanya mziki bwana
 
Back
Top Bottom