Kama we ni msichana na umechaguliwa kwenda Ardhi University soma hapa.

Kama we ni msichana na umechaguliwa kwenda Ardhi University soma hapa.

dada white

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
1,228
Reaction score
514
Kwa msichana yeyote ambaye amechaguliwa kwenda Ardhi University tafadhali aniPM.Tuongee vitu flani.
 
dah kweli kuna watu tunabahati mbaya humu jamvin....sasa kama nna dada angu yuko huko inakuaje???
 
Kwa msichana yeyote ambaye amechaguliwa kwenda Ardhi University tafadhali aniPM.Tuongee vitu flani.

Hata sisi wazazi tuna haki ya kujua welfare ya watoto wetu that what you want to tell our children in PM! Unless..............................................
 
dada white mbona hunijibu....inakuaje huyu sisy wangu??? au ndo tushapitwa na bahati!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hata sisi wazazi tuna haki ya kujua welfare ya watoto wetu that what you want to tell our children in PM! Unless..............................................

Usihofu mzazi ni vitu vyema tu.Ila vinahitaji mahojiano na makubaliano.
 
ni room hakuna jipya .. ngoja nianzishe thread ya kuwaombea vyumba continuing students..
 
Back
Top Bottom